Wakazi wa eneo la Mugae wanalalamikia mauaji

  • | Citizen TV
    342 views

    Wakazi wa eneo la Mugae kwenye mpaka wa kaunti za Meru na Isiolo wanalalamikia kuongezeka kwa visa vya uhalifu katika eneo hilo linalokabiliwa na changamoto za mauaji na wizi wa mifugo.