Washirika wa Rais wakaanusha madai ya Naibu Rais Gachagua kwamba kuna njama ya kumtoa serikalini

  • | TV 47
    2,256 views

    Washirika wa Rais William Ruto wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung'wah wamekanusha madai ya Naibu Rigathi Gachagua kwamba kuna njama ya kumuondoa afisini kupitia kura ya kutokuwa na imani naye. Ichung'wah akimshtumu gachagua kwa kile alichokiita kuleta migawanyiko kati ya wakenya.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __