Gachagua asema kuna njama ya kugawanya eneo la Mlima Kenya kabla ya uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    5,650 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua Sasa Anasema Kuna Njama Ya Kugawanya Eneo La Mlima Kenya Katika Vigezo Vya Mlima Kenya Mashariki Na Mlima Kenya Magharibi Ili Kugawanya Kura Za Eneo Hilo Katika Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Wa 2027. Akirejelea Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Wa 1992, Ambako Eneo La Mlima Kenya Lilikuwa Na Wagombea Wawili Wa Urais, Gachagua Aliyezungumza Katika Eneo La Limuru, Amesema Hatakubali Jamii Yake Kuingia Kwenye Mtego Ambao Imewekewa.