Viongozi wanaoegemea upande wa Naibu Rais Rigathi Gachagua wawakashifu wanaompinga

  • | TV 47
    287 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kuwa kuna kundi la wabunge wanaopania kugawanya eneo la mlima kenya katika sehemu kama mlima kenya mashariki, mlima kenya magharibi na eneo la kiambu. Naibu rais alisisitiza kuwa eneo la mlima limekuwa moja tangu zamani. Rigathi pia aliwaambia wabunge wa kati kupunguza siasa na kuzingatia kuwafanyia wakenya kazi. Viongozi wanaomuunga mkono Naibu Rais Rigathi Gachagua walitumia fursa hiyo kueleza kutoridhishwa kwao na wale wanaomshambulia Naibu Rais. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __