
191,945 views
1 Nov 2024
*Credits:* Composer: Wiclief Oguta Instrumental Track : Ayoyi Pro Audio Producer: Pro Emma; Airwaves Studio *LYRICS* *HITAJI LANGU* *1. Ee Mungu tumekutumikia kwa muda sasa, Maneno ya vinywa vyetu yakutangaza wewe, Tunalo ombi moja tu usije ukatusahau, wasiokujua watudharau wakitazama maisha yetu* *2. Ee Mungu ujidhihirishe kwa matendo yetu, Tuwe barua kusomeka wazi, Wanafiki wasipate sababu kutusi jina lako, Ila bwana la pili twaomba uwe mwelekezi wetu,Tena Mungu twakusihi tukuwakilishe vema* *Bridge....* *Wengine wataona aibu kufanya kazi yako, Naomba nisiwe mlalamishi mimi, Najua Mungu ateua wanyonge na kuwakamilisha kwa kazi, Kufanikisha alotarajia* *CHORUS,,,,,,* *::'';;::::Hitaji langu nyumbani mwa bwana nikae milele nitapoishi, Hitaji langu la moyoni nikusifu Mungu hadi nilale*
