
247,042 views
19 Nov 2021
Stream/Download this song: BOOMPLAY : https://www.boomplaymusic.com/share/music/69136496?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID Lyrics 1. Nlikuwa mdhambi Yesu kanijia Mwanga wa mbinguni ukanimulika ukanihuisha maisha yangu mazungumzo na Yesu yakaniponya 2. Wakati mwingine ninakata Tamaa nakufunikwa na wingu la mashaka dhambi zafunika mwanga wa upendo mazungumzo naye yatoa mashaka 3. Huzuni Mashaka na hata machozi Yesu tamaliza akirudi tena kwa njia ya maombi Jua shida zangu mazungumzo na Yesu mambo salama (Tuwe na) mazungumzo na mwokozi (kweli) umwambie shida zako (naye) tatusikia (na kweli) atatujibu (sikome) kumwambia shida zako (kweli) takuwa karibu nawe (nawe) uwe na mda wa kuongea naye ( uwe sawa)
