
781,491 views
16 Oct 2020
Email: saintsministerskenya@gmail.com LYRICS 1. Shambani mwa Edeni Adamu alipoumbwa, Mungu aliona ni vyema kuwa watu wawe wawili, Awe msaidizi, toka ubavuni mwake, hapo ndipo mwanzo Ndoa kubwa iliunganishwa. Chorus Inakuwa shangwe kubwa, Mume akipata Mke, hao wawili waishi kwa Amani, Naye Mume at Asema, "Mke Mfupa toka kwangu" Milele daima pendo dumisha mpate raha. 2. Familia jameni, twawasihi muwe chonjo, Shetani katili msiruhusu aingie Kati yenu, kwa upendo rekebisha, maombi yawe suluhisho, maneno matamu ndani yaa nyumba mpaka mwisho.
