
535,937 views
2 Oct 2020
Email: saintsministerskenya@gmail.com LYRICS 1. Tusichoke Safarini, Japo mawimbi yapiga tusihofu Mungu yupo, Kiongozi wa mwendo Yesu Mwana wa Mungu safari tu salama. Chorus... Usihofu, japo safari ndefu, Imani daraja yatuvusha ng'ambo, Twakaribishwa naye Kuhani Mkuu, Haleluya tumefika nyumbani 2. Waweza kuwa na mashaka, duniani mwenzangu usitie hofu yupo, Aona masumbuko yako yote, Yatakwisha tukifika Juu. Contact us: +254729536122 +254727251675
