
767,687 views
28 Jul 2019
CONTACT US: +254729536122 LYRICS Stanza 1 Sijui sababu ya neema niliyopewa na Mungu wetu, sikulistahili pendo lake, wala wokovu wa Yesu Kristo.*2 Chorus Amini *3 Yesu Amini *3 Maombi yako yatajibiwa Stanza 2 Sujui jinsi nilivyopewa, imani ya kumwamini Kristo, Neno lake Yesu lilileta amani yake moyoni mwangu.*2 Stanza 3 Sijui jinsi roho wa Mungu awaonyeshavyo watu wake wapate kuzitambua dhambi na kumfuata Yesu Mkombozi. *2 Stanza 4 Sijui kama mambo yajayo, yatakuwa ya salama kwangu, lakini ninamwamini Yesu mpaka tutaonana naye. *2 Stanza 5 Sijui siku gani ya Bwana, hapa atakaporudi kwetu, Nitamngojea kwa Imani, Hata kumlaki hewani Mwisho.*2
