
443,800 views
9 Oct 2017
CONTACT US: +254729536122 Lyrics Kila kunapokucha, maisha yangu takukabidhi, kazi zangu naweka kwako, E Bwana wangu unilinde, fikira zangu uzing'arishe ziweze kukuhimidi, nijaze na roho mtakatifu. Nikiyafungua macho, nione uwepo wako na masikio yangu yote utulivu uwe wimbo, akili nayo iwaze mema, uniongoze siku nzima, nitalisifu jina lako, Bwana unipe matumaini. Siku ikiwa na purukushani, magonjwa mengi yakinibana, ajali huku sikitiko kote unizingire Baba, jioni nayo Mungu wangu, nehema na fadhili zako nazihitaji usiku kucha nitashukuru. Kwa mahitaji ya Kesho, sina shaka, kwani wewe Mungu U mpaji. PLEASE SUBSCRIBE : https://www.youtube.com/channel/UCwpySjgJfXReZjQFHJj-xQQ
