Skip to main content
Skip to main content

Afisa wa DCI ahojiwa Kitengela, asalimisha bunduki baada ya ufyatuaji risasi

  • | Citizen TV
    6,040 views
    Duration: 1:56
    Afisa wa polisi aliyehusishwa na ufyatuaji wa risasi na kuwajeruhi watu wawili,katika eneo la burudani huko kitengela amesalimisha bunduki yake. Afisa huyo, ambaye ameagizwa kuandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Kitengela, yuko chini ya uchunguzi huku waliojeruhiwa wakiendelea kutibiwa hospitalini Kajiado.