Skip to main content
Skip to main content

Baraza la mashujaa, Maafisa wa KDF na wa magereza washirikiana katika utunzi wa mazingira

  • | KBC Video
    822 views
    Duration: 3:56
    Baraza la kitaifa la mashujaa kwa ushirikiano na wanajeshi wa humu nchini-KDF na maafisa wa gereza la Kitengela wameungana kupanda miti elfu-5 kwenye taaaisi hiyo ya serikali kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Mazingira. Afisa mkuu mtendaji wa baraza hilo Charles Wambia aliyeongoza shughuli hiyo ya upanzi wa miti katika kaunti ya Kajiado, alielezea umuhimu wa utunzi wa mazingira huku ulimwengu ukiendelea kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News