Skip to main content
Skip to main content

Biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda inaendelea licha ya marufuku

  • | Citizen TV
    16,579 views
    Duration: 10:02
    Biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda bado ipo licha ya marufuku iliyowekwa. Katika kaunti za Turkana, Machakos na Embu, mnyama huyu anayetegemewa na wengi sasa yuko katika hatari ya kuangamia. Na kama anavyoarifu evans asiba kwenye sehemu ya kwanza ya makala maalum ya punda ng'ombe, cha kusikitisha ni kuwa biashara haramu ya punda inaendelea nchini machoni pa polisi