Bunge la kaunti ya Siaya lambandua ofisini Naibu Gavana wa Kaunti hiyo William Oduol

  • | Citizen TV
    305 views

    Bunge la kaunti ya Siaya limembandua ofisini Naibu Gavana wa Kaunti hiyo William Oduol baada ya kamati maalum ya bunge kuidhibitisha madai dhidi yake yaliyowalishwa bungeni na mwakilishi wadi wa Asembo Mashariki, Gordon Onguuru.