28 Nov 2025 1:17 pm | Citizen TV 2,361 views Duration: 2:09 Kwenye chaguzi ndogo tatu za maeneo ya uwakilishi wadi katika kaunti ya Nyamira, wagombea wa vyama upinzani wametwaa ushindi wa viti hivyo vitatu.