Skip to main content
Skip to main content

Chama cha ushirika cha Siraji chapewa Ksh 170m kukopesha wanachama

  • | Citizen TV
    326 views
    Duration: 1:28
    Benki ya dunia imetoa ruzuku ya shilingi milioni 170 kwa chama cha ushirika cha Siraji. Ruzuku hii ikitarajiwa kutolewa kwa wafanyabiashara wadogo ili kukuza biashara haswa kwa zile zilizoathirika na janga la corona. Ufadhili huo uliopatikana kupitia usaidizi wa AVLC Group unapitia Shirika la Maendeleo la Kenya KDC. Afisa Mkuu Mtendaji wa Siraji Sacco, Felix Ochieng, amesema fedha hizo zitasaidia wanachama waliopata hasara kubwa wakati wa tandavu hiyo