28 Nov 2025 11:01 am | Citizen TV 8,160 views Duration: 2:51 David Ndakwa wa chama cha UDA ndiye mbunge mteule wa Malava kaunti ya Kakamega baada ya kumbwaga mpinzani wake wa karibu Seth Panyako wa chama cha DAP-K. Ndakwa amezoa kura 21,564 huku Panyako akipata kura 20,210.