Dhulma dhidi ya mtoto wa kike kaunti ya Marsabit

  • | Citizen TV
    86 views

    Dhulma dhidi ya mtoto wa kike kupitia ukeketaji unaendelea katika kaunti ya Marsabit huku ukosefu wa elimu ya kutosha ukichangia kuongezeka kwa idadi ya watoto wa kike kupitia mila hiyo potovu