DP Gachagua: niko tayari kupoteza ushawishi wa kisiasa kwa kuondoa Mungiki

  • | TV 47
    82 views

    Madai ya kufufuka kwa kundi la haramu la Mungiki yamezua migawanyiko katika siasa za Mlima Kenya kati ya viongozi wanaounga mkono Naibu Rais Rigathi Gachagua na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.

    tofauti hizo zimekuwa kali mno kiasi kwamba Gachagua amesema atafanya kila awezalo kuondoa kundi hilo hata iwapo itamaanisha kupoteza ushawishi wake wa kisiasa mlimani.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __