EACC yamnasa chifu wa Marama Central Kakamega

  • | Citizen TV
    758 views

    Siku moja baada ya tume ya maadili na kupambana na ufisadi kuwasilisha utafiti ulioweka wazi asilimia kubwa ya visa vya ufisadi kushuhudiwa kwa Machifu, katika idara ya Utawala, tume ya maadili na kupambana na ufisadi