Ekari 4,800 za ardhi zazozaniwa katika kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    273 views

    Kampuni ya Mikonge ya Voi point Limited iliyoko mjini voi kaunti ya Taita-Taveta imepokea Amri kutoka kwa Mahakama ya Mombasa kusitisha shughuli zote zinazoendelea katika ardhi hiyo ya zaidi ya ekari 4800 waliyokodisha kutoka kwa jamii ya mkamenyi. hii ni baada ya madai ya kutumia njia tata kupata stakabadhi za kukodisha ardhi hio na kuwafurusha baadhi ya wakaazi wanaoisha eneo hilo.