- 688 viewsDuration: 2:34Licha ya ghasia zilizoshuhudiwa kwenye chaguzi ndogo katika maeneo mbalimbali, Muungano ya waangalizi wa uchaguzi umepongeza IEBC kwa kuendesha shughuli ya upigaji kura kwa njia ya uwaz. Shirika la ELOG limesema IEBC iliwajibikia uchaguzi huo na kuitaka kushughulikia changamoto kubwa ya ghasia za uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.