Familia ipo katika njia panda kufuatia kuzuiliwa kwa mwili wa mpendwa wao

  • | K24 Video
    95 views

    Familia moja eneo la Ol Rongai kaunti ya Nakuru ipo katika njia panda kufuatia kuzuiliwa kwa mwili wa mpendwa wao katika chumba cha maiti na usimamizi wa hospitali ya Nakuru Maternity Nursing Home kwa mwaka mmoja sasa. Kisa ni familia hiyo kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 5.