Familia za wahanga DRC zakata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na mahakama ya jeshi

  • | VOA Swahili
    120 views
    - - - - - Siku chache baada ya mahakama ya kijeshi kuwahukumu kwa vifungo mbali mbali wanajeshi wa kikosi cha walinzi wa Rais walio husika na mauaji ya watu Mjini Goma baadhi ya familia za wahanga zimekata rufaa kwa kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa.