Skip to main content
Skip to main content

Familia zaathirika na ukame kwa kukosa chakula na maji Kilifi

  • | Citizen TV
    142 views
    Duration: 2:03
    Mamia ya familia katika baadhi ya maeneo ya Kilifi zinakabiliwa na njaa kutokana na ukame unaoendela kuathiri kaunti hiyo. Wakazi wengi walioathirika na hali hiyo wanalazimika kusafiri masafa marefu kutafuta bidhaa kama maji huku mabwawa ya maji pia yakikauka.