Gavana Ntutu amsuta Seneta Cheruiyot

  • | Citizen TV
    402 views

    Gavana wa Narok Patick Ole Ntutu amemuonya vikali Seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot asiingilie siasa za kaunti hiyo.Ntutu anadai kuwa seneta huyo alifanya mkutano na viongozi kutoka Narok Mashariki na kumrushia cheche za maneno. Gavana Ntutu anasema kuwa seneta Cheruiyot amevuka mpaka na kuingilia kazi za viongozi wa Narok.