- 990 viewsDuration: 2:48Gavana wa Vihiga Wilber Ottichilo amelaumiwa vikali kufuatia ripoti za kutumia shilingi milioni tano kwa sherehe ya ufunguzi wa nyumba ya spika wa kaunti hiyo. Kamati ya uhasibu ya bunge la seneti ikimshutumu Ottichilo kwa ufujaji wa pesa za umma.