Skip to main content
Skip to main content

Gor Mahia Fc wakutana na Bidco United kesho Kasarani

  • | Citizen TV
    135 views
    Duration: 56s
    Viongozi wa ligi kuu ya taifa ya kandanda Gor Mahia Fc watamenyana na Bidco united kesho katika mechi ya ligi kuu itakayoanza saa kumi alasiri katika uwanja wa Kasarani. Gor wanajua lazima washinde kesho ili kuimarisha nafasi yao kwenye kilele cha ligi ambayo kwa sasa iko na ushindani mkali miongoni mwa timu nne