Hamasisho Ya Afya Ya Akili

  • | TV 47
    8 views

    Hisia mseto kuhusu tatizo la afya ya akili zaibuka.

    Wakenya walalamikia gharama ya juu ya maisha.

    Visa vya watu kujiua kwa kujitia kitanza vimeripotiwa.

    Suala la unyanyapaa limekithiri katika jamii.

    Imebainika wagonjwa wa tatizo la afya ya kiakili hutengwa.

    Wataalamu wahimiza jamii kuwakubali wapendwa wao.

    Wakenya watakiwa kutafuta ushauri wanapobanwa.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __