Hisani ya Watawa yashiriki matembezi ya kuchangisha pesa ya kujenga shule Namanga

  • | Citizen TV
    170 views

    Watawa kutoka kundi la Little sisters of St Joseph ambao pia wanafahamika kama Kiligoris sisters kutoka mtaa wa Karen hapa Jijini Nairobi wanashiriki matembezi ya siku tano yaliyoanza Nairobi hadi mji wa Namanga katika kaunti ya Kajiado kwa lengo la kuchangisha pesa za kujenga shule katika mji wa Namanga.