6 Nov 2025 10:13 am | Citizen TV 254 views Huzuni ilitanda katika Kijiji cha Muyeye eneo bunge Malindi wakati wa mazishi ya aliyekuwa afisa wa GSU Isaac Ngala aliyeaga dunia katika msitu wa Shakahola miaka miwili iliyopita.