Imekuwa furaha kwa familia ya John Mwangi baada ya kuachiliwa pamoja na dadake kutoka gerezani

  • | Citizen TV
    1,314 views

    Imekuwa furaha kwa familia ya John Henry Mwangi aliyeachiliwa kutoka gerezani baada ya kuhukumiwa kimakosa kwenye kesi ya mzozo wa ardhi ya familia. Hii ni baada ya ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka kubatilisha kifungo hicho, ilipobaini kuwa stakabadhi zilizotumika kumfunga yeye na dadake zilikuwa zimeghushiwa. Mwangi aliachiliwa pamoja na dadake caroline wambui macharia ambaye pia alikuwa gerezani kwa muda huo.