Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo aidhinishwa na Wiper kuwania urais 2027

  • | KBC Video
    9,454 views
    Duration: 4:28
    Mrengo wa upinzani umepuuzilia mbali tetesi za kusambaratika. Katika hali ya kudhihiri umoja, viongozi wote wa upinzani walihudhuria kongamano la kitaifa la wajumbe la chama cha Wiper, ambapo Kalonzo Musyoka aliidhinishwa kuwa mwaniaji rasmi wa kiti cha urais kwa chama hicho. Mkutano huo ulionekana kama mkakati wa chama hicho wa kuunganisha mrengo wa upinzani tayari kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 na vilevile azimio la upinzani la kumuunga mkono Kalonzo Musyoka iwapo uteuzi wa mwaniaji wa muungano wa upinzani utampendelea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive