Kaunti 23 zilizoathirika na ukame kusambaziwa chakula

  • | Citizen TV
    194 views

    Serikali kuu imeweka mikakati ya kusambaza chakula cha msaada kwa Kaunti 23 zinazokabiliwa na uhaba wa chakula kutokana na kiangazi