Kaunti ya Kajiado inaazimia kuacha matumizi ya Umeme

  • | Citizen TV
    307 views

    Serikali ya kaunti ya Kajiado imetangaza nia yake ya kuacha matumizi ya umeme na badala yake inaanze kutumia mtambo wa sola kwenye shuguli za kusambaza maji katika miji mbali mbali.