Kazi Ni Kazi: Ajira kwenye mijengo

  • | KBC Video
    57 views

    Ajira kwenye mijengo ni mojawapo ya kazi ambazo huwavutia watu wachache mno kwa sababu mbalimbali ikiwemo ukweli kwamba wengi huichukulia kuwa kazi ya sulubu. Hata hivyo, kuna baadhi ya kazi kwenye sekta ya ujenzi ambazo hazihitaji nguvu nyingi. Kwenye makala ya Juma hili ya Kazi ni Kazi, Fredrick Muoki anamwangazia msanifu mijengo ambaye pia hutumia teknolojia mpya katika mijengo. Tazama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News