28 Nov 2025 7:25 pm | Citizen TV 302 views Duration: 1:09 Nairobi United, Naibos, wametoa wito kwa mashabiki wa soka nchini kujaza uwanja wa Kasarani katika mechi ya Jumapili dhidi ya Maniema Union kutoka D.R Congo katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho la CAF.