Kombe la Dunia: Saudi Arabia yapata ushindi wa kihistoria

  • | VOA Swahili
    128 views
    Jiji la Riadh linaripotiwa kusherehekea ushindi wa kihistoria ambao timu ya Saudi Arabia imeifunga mabao 2-1 timu maarufu ya Argentina na hivyo kuushangaza ulimengu. Endelea kusikiliza uchambuzi kamili unaoletwa na mwandishi wetu aliyoko Qatar na mtaalam wa masuala ya Kombe la Dunia kutoka nchini Tanzania. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.