Kombe la Scrabble Afrika latua nchini kabla ya mashindano ya chipukizi

  • | NTV Video
    27 views

    Kombe ambalo litapambaniwa katika mashindano ya chipukizi ya bara Afrika ya Scrabble limetua nchini, miezi miwili kabla ya makala ya mwaka huu kuanza katika shule ya kimataifa ya Brighton Syokimau kaunti ya Machakos.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya