Skip to main content
Skip to main content

Korir kuongoza kikosi cha wanariadha katika mbio za Nairobi City Marathon

  • | Citizen TV
    66 views
    Jonathan Kipleting Korir aliyemaliza katika nafasi ya nne kwenye mbio za Berlin Marathon ataongoza kikosi imara cha wanariadha katika mbio za Nairobi City Marathon Jumapili hii huku jiji kuu la Nairobi likiandaa awamu ya tano ya mbio hizo.