3 Jun 2026 1:06 pm | Citizen TV 20,779 views Duration: 3:55 Maafisa wa upelelezi katika Kaunti ya Kisii wanachunguza kifo cha kutatanisha cha Hezron Macharia, daktari mwanagenzi aliyefariki dunia katika kidimbwi cha kuogelea kwenye hoteli moja eneo la Keumbu.