Maafisa wawili wa polisi wafungwa jela miaka 35

  • | Citizen TV
    412 views

    Maafisa wawili wa polisi watasalia jela kwa miaka 35 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanamume mmoja miaka mitano iliyopita kwa kosa la kutovaa barakoa. Mahakama ya Rufaa ya Eldoret imewahukumu maafisa hao wawili wa kwa mauaji ya jina Dennis LUSAVA