Maandamano yachacha Nairobi huku waandamanaji washinikiza haki kwa mwanablogu Ojwang

  • | Citizen TV
    21,579 views

    Jiji la Nairobi leo hii limeshuhudia hali ya mshike mshike na fujo huku makundi ya vijana yakiandamana kulalamikia mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Waandamanaji wakiandamana katikati ya jiji na hata jumba la Jogoo ambako ndio makao makuu ya polisi kushinikiza kujiuzulu kwa naibu Inspekta Jenerali wa polisi Eliud Lagat kwa mauaji ya Ojwang.