Skip to main content
Skip to main content

Machafuko ya uchaguzi Tanzania yaliua zaidi ya 500

  • | Citizen TV
    3,208 views
    Duration: 2:29
    Tume maalum iliyoteuliwa kuchunguza kiini cha machafuko ya uchaguzi yaliyoshuhudiwa nchini Tanzania mwaka uliopita Sasa imesema watu mia tano kumi na wanane walifariki katika ghasia hizo. Akitoa ripoti ya kamati hiyo katika ikulu ya Dar Es Salaam Alhamisi, jaji mkuu msaafu Mohamed Chande alisema kuwa ghasia hizo zilichochewa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati waliolipwa. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, rais Samia Suluhu amebaini kuunda jopo la maridhiano ili kutatua masuala tete.