- 326 viewsDuration: 2:41Masaibu yanayomkabili mbunge wa Naivasha Jayne Kihara yalizidi leo baada ya madalali kuvamia makazi yake na kuondoka na mifugo pamoja na gari la kibinafsi kuhusiana na deni la shilingi milioni 7.5 analodaiwa na aliyekuwa mbunge wa eneo hilo John Mututho. Mbunge huyo hata hivyo amekashifu hatua hiyo akisema hakufahamishwa kuhusu agizo la mahakama la kuidhinisha uvamizi huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive