Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya wageni wanahudhuria sherehe ya utamaduni ya Maa

  • | Citizen TV
    296 views
    Sherehe za kitamaduni za jamii ya Maa zimetoa nafasi Kwa biashara hasa ya ushanga na bidhaa mbalimbali kunoga, katika eneo la Amboseli. Kina mama wanaouza ushanga na bidhaa zingine Kwa maelfu ya wageni ambao wanahudhuria hafla hiyo, wanasema Kuna haja ya Serikali kuimarisha soko la shanga ili kuimarisha mapato yao.