Maeneo mengi yashuhudia vurugu wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    44 views

    Mtu mmoja ameuawa kwenye kaunti ya Migori wakati wa maandamano ya leo.Kulingana na hospitali ya kaunti ndogo ya Rongo,mtu huyo alifariki kutokana na majeraha ya risasi.Katika kaunti ya Kilifi,wazee na viongozi wa dini wametoa wito wa mazungumuzo ya wazi kuhusu maswala yanayokumba taifa hili.Maelezo zaidi kuhusu matukio magatuzini ni katika taarifa yake Irene Muchuma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive