Mahakama zahimizwa kuharakisha kesi za dhuluma za kimapenzi

  • | KBC Video
    7 views

    Idara ya mahakama imehimizwa kuharakisha kutoa uamuzi wa kesi zinazohuusiana na dhulma za kimapenzi dhidi ya watoto na kuhakikisha wanaotekeleza uovu huo wanachukuliwa hatua za kisheria. Kulingana na shirika la kutetea haki za watpoto la Cradle, visa vya watoto kudhulumiwa kimapenzi na maovu mengine dhidi ya watoto vimeongezek ka kiqasi kikubwa humu nchini huku wanaotekeleza dhuluma hizo wakisalia kuwa huru wakiongea wakati wa uzinduzi wa kampeni ya utetezi wa haki za watoto jijini Nairobi ,washiriki wa kikao hicho walitoa wito wa kuimarishwa kwa mfumo wa sheria kuhakikisha watoto wa kike wanalindwa kikamilifu dhidi ya desturi za kitamaduni zinazokiuka haki zao

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive