Maiti 10 zaidi wamefukuliwa msitu wa Shakahola

  • | Citizen TV
    930 views

    Maiti 10 zaidi zimefukuliwa hii leo kutoka msitu wa Shakahola huku washukiwa 65 waliokamatwa nao pia wakifikishwa mahakama ya shanzu. Haya yamejiri huku hapa jijini Nairobi, baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM likipinga hatua ya serikali kutaka kudhibiti shughuli za kidini, walipofika mbele ya kamati ya Seneti inayokusanya maoni kuhusu shughuli za kidini wakisema hatua hiyo itahujumu uhuru wa kuabudu.