Skip to main content
Skip to main content

Makanisa yakemea shambulizi la kanisa Nyeri, yataka msamaha wa polisi

  • | Citizen TV
    2,556 views
    Duration: 3:08
    Viongozi wa makanisa na mashirika ya haki yamekosoa shambulizi dhidi ya waumini katika kanisa la ACK Witima kaunti ya Nyeri hapo jana. Kanisa la kianglikana ACK, likilaumu polisi kwa kile wanasema ni kushirikiana na wahuni kuvuruga ibada huku baraza la makanisa likitaka polisi kuomba msamaha kwa tukio hilo. Aidha, shirika la kutetea haki la KNCHR likitaja uvamisi huu kuwa ukiukaji mkubwa wa uhuru wa kuabudu.